Lugha ya alama ya Tanzania

Lugha ya alama ya Tanzania (TSL au LAT) ni lugha ya ishara iliyosanifiwa ambayo mnamo mwaka 1984,ilipendekezwa na Chama cha Viziwi, kwa kutumia ishara za kawaida au zinazofanana ambapo zipo katika shule zinazofanya utafiti.[1]

Takriban lugha saba za alama za Kitanzania ziliendelezwa kwa kujitegemea miongoni mwa wanafunzi viziwi katika shule tofauti za Kitanzania za viziwi, kuanzia mwaka 1963. Hata hivyo matumizi ya lugha kadhaa yamekatazwa katika shule hizo.

Marejeo

hariri
  1. Muzale, MRT (2004). Kamusi ya Lugha ya Alama ya Tanzania (LAT) / Tanzanian Sign Language (TSL) Dictionary. ISBN 9987-691-02-1.
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha ya alama ya Tanzania kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.