Lugha za Kipama-Nyungan

Lugha za Kipama-Nyungan ni familia ya lugha nchini Australia. Katika familia hiyo kuna lugha takriban 300, yaani ni familia kubwa kabisa barani mwa Australia. Hata hivyo, lugha nyingi za Kipama-Nyungan zimeshatoweka au zimekaribia kutoweka hivi karibuni.

Enezi la lugha za Kipama-Nyungan barani mwa Australia, rangi ya manjano

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kipama-Nyungan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.