Lugha za Kitungusi

Lugha za Kitungusi ni familia ya lugha ambazo huzungumzwa nchini Urusi na Uchina. Idadi ya lugha katika familia hiyo ni kumi na mbili tu. Wengine hufikiri kwamba lugha za Kitungusi ni tawi moja la lugha za Kialtai pamoja na lugha za Kiturki.

Maeneo ya lugha za Kitungusi

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kitungusi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.