Luteni wa Pili

(Elekezwa kutoka Luteni usu)

Luteni wa Pili (kwa Kiingereza: Second Lieutenant), pia Luteni-usu, ni cheo cha chini kabisa cha afisa wa jeshi waliopewa kazi ya usimamizi. Kiko chini ya Luteni wa Kwanza.

Alama kwenye sare ya Luteni-usu wa jeshi la Tanzania.