Alama

ishara, ilani, ishara za barabara, ishara, picha, n.k.

Alama (kwa Kiingereza "sign"[1]) ni kitu, mchoro, maandishi, kifaa ambacho hutambulisha kitu kingine, tukio, sehemu n.k.

Alama asili katika mazingira inayodokeza na kuthibitisha uwepo wa mtu hivi karibuni.
Alama ya hatari ya kibiolojia haihusiani nayo kabisa.

Baadhi yake ni asili, kwa mfano radi ya umeme na dalili za ugonjwa.[2]


Baadhi zimetungwa na binadamu, kwa mfano vituo katika maandishi na vitendo vya mikono wakati wa kuongea.[3]

Ishara za Zodiac za Magharibi
Ishara kwenye pwani huko Durban katika enzi ya ubaguzi wa rangi Afrika Kusini inaonyesha pwani ya ubaguzi wa rangi.[4]

Marejeo hariri

Tanbihi hariri