Lwiza John

Mkimbiaji wa mbio za masafa kutoka Tanzania

Lizwa Msyati John (alizaliwa Desemba 19, 1980 Dar es Salaam) ni mtanzania mwanariadha hasa hushindana kwenye mbio za mita 800. Kwa ubora wake binafsi ni dakika 1:59.58. Iliyofikiwa mnamo mwaka 2000.

Lizwa Msyati John
Amezaliwa 19 Desemba 1980
Dar es salaam
Nchi Tanzania
Kazi yake Mwanariadha
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lwiza John kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Marejeo hariri