Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
(Elekezwa kutoka MOE)
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi (Kiingereza: Ministry of Education and Vocational Training kifupi (MOE)) ni wizara ya serikali nchini Tanzania. Ofisi kuu ya wizara hii zipo mjini Dar es Salaam.
Nchi ya Tanzania haitumii sana mfumo wa shule za ufundi, kumbe zinahitajika ili kuwe na maendeleo kama mataifa mengine.
Marejeo
haririTazama pia
haririViungo vya nje
hariri- Tovuti rasmi Ilihifadhiwa 20 Februari 2009 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |