Wizara ya Fedha na Uchumi
(Elekezwa kutoka MOF)
Wizara ya Fedha na Uchumi (Kiingereza: Ministry of Finance and Economic Affairs kifupi (MOF)) ni wizara ya serikali nchini Tanzania. Ofisi kuu ya wizara hii ipo mjini Dar es Salaam.
Wizara ya Fedha na Uchumi English: Ministry of Finance and Economic Affairs | |
---|---|
Ilianzishwa | 1964 |
Mamlaka | Tanzania |
Makao Makuu | Madaraka Avenue, Dar es Salaam |
Waziri | William Mgimwa |
Naibu Waziri | Janet Mbene Saada Salum |
Katibu Mkuu | Ramadhan Khijjah |
Tovuti | mof.go.tz |
Marejeo
haririTazama pia
hariri- Serikali ya Tanzania
- Madaraka ya wizara
- Wizara za Serikali ya Tanzania
Viungo vya nje
hariri- Tovuti rasmi Ilihifadhiwa 30 Agosti 2009 kwenye Wayback Machine.
- Wizara ya fedha ya Uchumi ya Tanzania
Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |