Amapiano : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
Narudi tena! Tag: Reverted |
||
Mstari 1:
'''Amapiano''' ni neno la [[Kizulu]] au [[Kixhosa|Ki-Xhosa]] lenye tafsiri ya "[[piano]]." Hii ni aina ndogo ya muziki wa house ambayo ilijitokeza nchini [[Afrika Kusini]] katika mwanzo wa miaka ya 2010. Ni mchanganyiko wa house liliobishiba, jazz, na muziki wa lounge uliojulikana kwa vifaa vya muziki vya synthesizers na mistari mpana ya bass yenye nguvu za mapigo.
== Asili ==
Ingawa aina hii ya muziki ilipata umaarufu huko Katlehong kitongoji cha [[Mashariki]] mwa [[Johannesburg]], kuna utata mwingi kuhusu asili yake, pamoja na maelezo mbalimbali ya mitindo ya muziki katika vitongoji vya [[Johannesburg]] - ''[[Soweto]],'' Alexandra, Vosloorus na Katlehong. Kwa sababu ya ufanano wa aina hizo, baadhi ya watu wanadai kuwa aina hiyo ilianza [[Pretoria]] na kumekuwa na mjadala kuhusu [[asili]] ya Amapiano. <ref>{{Cite web|url=https://www.timeslive.co.za/sunday-times/lifestyle/2019-07-07-amapiano-a-township-sound-with-staying-power/|title=Amapiano: a township sound with staying power|work=TimesLIVE|language=en-ZA|accessdate=2019-10-29}}</ref> <ref>{{Cite web|author=Joyce|first=Liam Karabo|title=Meet the vocalist featured on the biggest amapiano tracks|url=https://www.iol.co.za/entertainment/music/local/meet-the-vocalist-featured-on-the-biggest-amapiano-tracks-35610310|publisher=Independent Online|accessdate=1 November 2019|date=23 October 2019}}</ref> <ref>{{Cite web|url=https://www.sowetanlive.co.za/sundayworld/lifestyle/2019-05-28-amapiano-a-new-movement-period/|title=Amapiano a new movement... Period|work=SowetanLIVE|language=en-ZA|accessdate=2019-10-29}}</ref>
|