Muddyb
|
Mtumiaji huyu ana kazi nyingi katika maisha ya kweli na hawezi kujibu maswali yako kwa uharaka zaidi. |
Wikipedia:Babel | |||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Ndugu Muddy, karibu kwenye wikipedia ya Kiswahili! Kuna kazi nyingi. Naomba uangalie makala ya "Msaada wa kuanzisha makala" (utaipata pia kwa kubonyeza "msaada" hapo upande wa kushoto). Ukiwa na swali lolote uliza tu. Wakati huu ni hasa Oliver, Ndesanjo pamoja nami walio tayari kusaidia. --Kipala 17:17, 24 Agosti 2007 (UTC)
Namna ya kuanzisha vigezo mbalimbali ikiwemo infobox
Habari ndugu @Muddyb Natumaini wewe ni mzima, ninaomba unielekeze namna ya kuanzisha vigezo mbalimbali. Asante. Justine Msechu (majadiliano) 15:38, 11 Julai 2023 (UTC)
- Kumbe sijakujibu. Ilikuwaje? Haya, unataka vigezo gani? Njia rahisi kufikia hapa wakati ni mwingine ni kutumia email. Ninapekua habari zenu kwa sababu ya Usergroup. Muddyb Mwanaharakati Longa 12:41, 13 Desemba 2023 (UTC)
MISC
Salamu Muddyb! Tafadhali ondoa Utawala, IA, Haki za Mtayarishaji Akaunti na Urasimi.
Ameniomba kufanya hivyo Tumbuka Arch★★★ lakini mimi sijui kufanya. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:57, 19 Septemba 2023 (UTC)
Afrika Kusini
Hello Muddyb, how are you? Could you please add {{African Union}} to Afrika Kusini, like I did for some other African countries, since the page is protected? Best regards, SpesBona (majadiliano) 19:45, 3 Desemba 2023 (UTC)
- Hello there. Sorry for the delay. You can add now. I have unprotected the page.--Muddyb Mwanaharakati Longa 12:26, 13 Desemba 2023 (UTC)
- Hello Muddyb, thanks a lot! @Riccardo Riccioni: was so kind and did this already. What about the relations between Eastern and Southern Africa, especially in sports? I am very active on Afrikaans and German Wikipedia and two of my main topics are cricket and rugby. In East Africa I know about Kenyan and Ugandan cricket and rugby, the second hot spot for these sports in Africa alongside South Africa, Zimbabwe and Namibia. Uganda qualified some weeks ago for the en:2024 ICC Men's T20 World Cup, equally for they first international cricket tournament. Kenya was one of the best teams 20 years ago, by reaching the semi final of the en:2003 Cricket World Cup. Some Kenyans may known Steve Tikolo as a cricket legend. Both countries have some rivalry in both sports and they know very well. Here on Swahili Wikipedia I tried something and added content to kriketi and raga. I think some articles about national teams and tournaments could also be nice. With Swahili, we can reach at least six African countries. E.g. the Rwandan government support woman cricket as they are a member of the Commonwealth. What do you think? SpesBona (majadiliano) 18:45, 20 Desemba 2023 (UTC)
- Looks great to me. Keep up the good work. Holla me up anytime when you something.... Peace and love!  Muddyb Mwanaharakati Longa 06:53, 28 Desemba 2023 (UTC)
- Hello Muddyb, thanks a lot! @Riccardo Riccioni: was so kind and did this already. What about the relations between Eastern and Southern Africa, especially in sports? I am very active on Afrikaans and German Wikipedia and two of my main topics are cricket and rugby. In East Africa I know about Kenyan and Ugandan cricket and rugby, the second hot spot for these sports in Africa alongside South Africa, Zimbabwe and Namibia. Uganda qualified some weeks ago for the en:2024 ICC Men's T20 World Cup, equally for they first international cricket tournament. Kenya was one of the best teams 20 years ago, by reaching the semi final of the en:2003 Cricket World Cup. Some Kenyans may known Steve Tikolo as a cricket legend. Both countries have some rivalry in both sports and they know very well. Here on Swahili Wikipedia I tried something and added content to kriketi and raga. I think some articles about national teams and tournaments could also be nice. With Swahili, we can reach at least six African countries. E.g. the Rwandan government support woman cricket as they are a member of the Commonwealth. What do you think? SpesBona (majadiliano) 18:45, 20 Desemba 2023 (UTC)
- Okay, let's give it a try. First, I added [[Kigezo:Infobox cricketer]] to the articles Steve Tikolo and Maurice Odumbe. I tried my best to keep these informations in Swahili, but this template itself is in English. My knowledge of Swahili are only some words and I don't know how good works Google Translate for Swahili. Kenya national cricket team is Timu ya kriketi ya Kenya in Swahili. But I don't know the rest. We can still try something. All the Best for 2024! SpesBona (majadiliano) 20:25, 28 Desemba 2023 (UTC)
- Here comes the problem. I dunno the meaning of most of the cricket terminologies. I may not be able to understand the actual mean. However, I will give it a try. Muddyb Mwanaharakati Longa 10:07, 4 Januari 2024 (UTC)
- Happy New Year 2024 for you! No problem, I can explain them for you. It would be interesting which terms in Swahili are used. English ones like in German or own terms like in Afrikaans. I think it depents on the history of cricket in Eastern Africa. In South Africa, it is played since almost 200 years. In Kenya, it dates back to 1899. That could be long enough to etablish own terms in Swahili, I'll guess. SpesBona (majadiliano) 22:00, 5 Januari 2024 (UTC)
- Hello Muddyb, how are you? Today I used [[Kigezo:Infobox cricketer]] again, but some of my edits were reverted. We need to translate this template first. I don't know where to get the Swahili terms for cricket. Do you have a idea where to get those terms online? I also want the Swahili Wikipedia with rugby, where I need the rugby words in Swahili, too. All the best for you! SpesBona (majadiliano) 20:30, 14 Novemba 2024 (UTC)
- Please outline all the words that need doing translation. I'll be more than willing to help you translate those words. Best! MuddybLonga 14:59, 17 Novemba 2024 (UTC)
- Good evening Muddyb, I appreciate your help! The words needing translation are:
- Batting style
- Bowling style
- International information
- National side
- Test debut (Test cricket)
- Last test
- Only
- One Day International (ODI)
- ODI debut
- Last ODI
- Cap
- Shirt
- Twenty20 (Twenty Twenty)
- Twenty20 International
- Domestic team information
- Years
- Team
- Umpiring information
- Tests umpired
- ODIs umpired
- T20Is umpired
- FC umpired (First-class cricket)
- LA umpired (List A cricket)
- Career statistics
- Competition
- Matches
- Runs scored
- Batting average
- 100s (Century)
- 50s (Fifty)
- Top score
- Balls bowled
- Wickets
- Bowling average
- 5 wickets in an innings
- 10 wickets in a match
- Best bowling (figures)
- Catches/stumpings
- Feel free to ask about these terms. All the Best for you! SpesBona (majadiliano) 19:00, 18 Novemba 2024 (UTC)
- Dear Muddyb, please help me with Mtumiaji:SpesBona/ukurasa wa majaribio. Are any of the words I tried to translate on that page correct (column Google Translate or ChatGPT)? If not, do you want to correct them? Please let met know, I want to improve articles about cricketers on Swahili with this infobox (like I do with politicans). Peace to you! SpesBona (majadiliano) 21:55, 27 Novemba 2024 (UTC)
- Good evening Muddyb, I appreciate your help! The words needing translation are:
- Please outline all the words that need doing translation. I'll be more than willing to help you translate those words. Best! MuddybLonga 14:59, 17 Novemba 2024 (UTC)
- Hello Muddyb, how are you? Today I used [[Kigezo:Infobox cricketer]] again, but some of my edits were reverted. We need to translate this template first. I don't know where to get the Swahili terms for cricket. Do you have a idea where to get those terms online? I also want the Swahili Wikipedia with rugby, where I need the rugby words in Swahili, too. All the best for you! SpesBona (majadiliano) 20:30, 14 Novemba 2024 (UTC)
Majedwali ya nchi
Ndugu, naomba msaada wako. Kisare alibadilisha Infobox country kuwa Jedwali la nchi. Sikatai kwamba ameweza kuboresha, lakini sasa kurasa nyingi sana na muhimu za nchi zina jedwali lisilosomeka (Infobox with no data rows). Tufanye nini? Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:10, 11 Mei 2024 (UTC)
- Ubaya wa kufanya vitu bila kushirkiana na wenzako matokeo yake ndiyo haya. Hebu ngoja nitazame. Nikiona mambo ni mengi, ninarudisha umbo lake halisi. Pole kwa kuchelewa kujibu. Muddyb Mwanaharakati Longa 07:11, 15 Mei 2024 (UTC)
- Mimi niliogopa kuchukua hatua kali namna hiyo! Jamaa ana uwezo mzuri, shida yake ushirikiano! Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:28, 15 Mei 2024 (UTC)
- Ni kweli. Maarifa anayo mazuri. Shida kubwa mjivuni. Katika kazi za jumuia kama hizi, ni lazima watu mshirkiane. Nje ya hapo ni kuharibu mradi mzima. Vile viungo alivyochezea ni vikubwa sana. Itahitaji kila makala ubadili. Pia angeweza kuwasiliana na jumuia tukaamua kwa pamoja. Badala ya kufanya mtu mmoja. Muddyb Mwanaharakati Longa 09:56, 15 Mei 2024 (UTC)
- Mimi niliogopa kuchukua hatua kali namna hiyo! Jamaa ana uwezo mzuri, shida yake ushirikiano! Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:28, 15 Mei 2024 (UTC)
- Habari zenu. Nadhani kwamba inaweza kutatuliwa kwa kuendesha (kwa muda) vigezo viwili: "Kigezo:Jedwali la nchi" na "Kigezo:Infobox country". "Kigezo:Jedwali la nchi" kitakuwa toleo jipya, yaani kile nilichoumba. "Kigezo:Infobox country" kitakuwa toleo la zamani. Hivyo, makala zinazotumia "jedwali la nchi" zitaendelea kutenda vizuri, na makala zinazotumia "infobox country" pia zitaendelea kutenda vizuri. Ingalifaa kama ningalifanya hiyo mwanzoni.
- Baada ya muda fulani, tunaweza kubadili makala zote ili zitumie kigezo kipya (jedwali la nchi) badala ya kigezo cha zamani (infobox country). Kisare (majadiliano) 21:34, 21 Mei 2024 (UTC)
- Sawa, nimethibitisha kwamba badiliko hilo limetatua suala. Kwa mfano: Tanzania n.k. Tunahitaji kungoja hadi ghili (cache) imesasishwa. Unaweza kusasisha ghili ya makala kwa mikono hapa: Maalum:Purge. Baada ya kusasisha ghili, utaona jedwali la nchi la makala limetengenezwa. Kisare (majadiliano) 23:37, 21 Mei 2024 (UTC)
- Unaweza kuandaa kama tamrini ili tushughulikie kwa pamoja kubadili hizo makala zenye umbo la kale kwenda jipya? Au unaona inawezekana kufanya mabadailiko ya jedwali la nchi zote. Au tugawane kwa kanda. Afrika, watu hawa waboreshe mashariki, hawa magharibi, hawa kusini na kadhalika. Hii itapunguza mzigo kwa mtu mmoja kufanya yote. Ukiona muda unaruhusu, unaweza kuendelea. Au upange hili zoezi kwa watu utakaoshirikiana nao. Muddyb Mwanaharakati Longa 03:51, 22 Mei 2024 (UTC)
- Sawa, nimethibitisha kwamba badiliko hilo limetatua suala. Kwa mfano: Tanzania n.k. Tunahitaji kungoja hadi ghili (cache) imesasishwa. Unaweza kusasisha ghili ya makala kwa mikono hapa: Maalum:Purge. Baada ya kusasisha ghili, utaona jedwali la nchi la makala limetengenezwa. Kisare (majadiliano) 23:37, 21 Mei 2024 (UTC)
GFDL
Hi! You have uploaded some files and licensed them {{GFDL}}. The template had disclaimers so I changed the license template to {{GFDL-with-disclaimers}} and removed the disclaimers from {{GFDL}}.
Disclaimers should be avoided so if you would be willing to remove the disclaimers please just change back to {{GFDL}}.
Also if some files are licened GFDL only perhaps you would also add {{Cc-by-sa-all}}? --MGA73 (majadiliano) 11:06, 18 Mei 2024 (UTC)
- Wow! Thanks for info. Happily to change it as instructed. Muddyb Mwanaharakati Longa 06:14, 3 Julai 2024 (UTC)
- Great! I just noticed Faili:Gaston Ngailo.jpeg. You should mention a source and the author. If you are the photographer you could add "Source: I took this photo" and "Author: Mtumiaji:Muddyb". If you are not the photographer you tell where you got the photo, who the photographer is and explain how we know the photo is licensed GFDL. Same with your other photos. --MGA73 (majadiliano) 17:49, 17 Agosti 2024 (UTC)
- Sure. Let me make a time for all of them. MuddybLonga 14:50, 18 Agosti 2024 (UTC)
- Great! I just noticed Faili:Gaston Ngailo.jpeg. You should mention a source and the author. If you are the photographer you could add "Source: I took this photo" and "Author: Mtumiaji:Muddyb". If you are not the photographer you tell where you got the photo, who the photographer is and explain how we know the photo is licensed GFDL. Same with your other photos. --MGA73 (majadiliano) 17:49, 17 Agosti 2024 (UTC)
Wakabidhi
Ndugu, katika Wikipedia yetu wakabidhi ni 13, lakini orodha zinaonyesha 17. Mojawapo ni Abuse filter. Kwa nini idadi imebaki ile ya zamani, kabla ya kufariki Kipala na kuondolewa wengine? Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 08:31, 6 Julai 2024 (UTC)
- Ndugu Riccardo, salama?
- Orodha ya Wakabidhi ni hii hapa;
- Abuse filter majadiliano michango zuia (mkabidhi) (Iliwekewa saa 07:52 tarehe 17 Desemba 2018)
- Anuary Rajabu majadiliano michango zuia (mkabidhi) (Iliwekewa saa 10:49 tarehe 19 Desemba 2020)
- Asterlegorch367 majadiliano michango zuia (mkabidhi) (Iliwekewa saa 11:55 tarehe 15 Desemba 2018)
- CaliBen majadiliano michango zuia (mkabidhi) (Iliwekewa saa 10:17 tarehe 8 Septemba 2018)
- ChriKo majadiliano michango zuia (mkabidhi)
- Czeus25 Masele majadiliano michango zuia (mkabidhi) (Iliwekewa saa 09:54 tarehe 21 Oktoba 2017)
- Hussein m mmbaga majadiliano michango zuia (mkabidhi) (Iliwekewa saa 23:33 tarehe 15 Februari 2022)
- Husseyn Issa majadiliano michango zuia (mkabidhi) (Iliwekewa saa 10:01 tarehe 31 Oktoba 2020)
- Idd ninga majadiliano michango zuia (mkabidhi) (Iliwekewa saa 23:23 tarehe 22 Januari 2018)
- Jadnapac majadiliano michango zuia (mrasimu, mkabidhi) (Iliwekewa saa 11:08 tarehe 2 Februari 2017)
- Justine Msechu majadiliano michango zuia (mkabidhi) (Iliwekewa saa 10:22 tarehe 16 Januari 2021)
- Manguboy majadiliano michango zuia (mkabidhi) (Iliwekewa saa 11:13 tarehe 22 Aprili 2017)
- Muddyb majadiliano michango zuia (mrasimu, event-organizer (kabla 21:04, 2 Januari 2025), mkabidhi) (Iliwekewa saa 15:52 tarehe 18 Agosti 2007)
- Ndesanjo majadiliano michango zuia (mkabidhi)
- Olimasy majadiliano michango zuia (event-organizer, mkabidhi) (Iliwekewa saa 09:41 tarehe 6 Mei 2017)
- Riccardo Riccioni majadiliano michango zuia (mrasimu, mkabidhi) (Iliwekewa saa 11:49 tarehe 11 Novemba 2007)
- Sj majadiliano michango zuia (mkabidhi)
- Unataka tuondoe wezo za nani na nani hapo?
- Kwa uchache;
- 1. Kipala
- 2. SJ
- 3. Manguboy
- 4. Ndesanjo Muddyb Mwanaharakati Longa 12:39, 6 Julai 2024 (UTC)
- Ili kupata orodha kamili, tazama; https://sw.wikipedia.org/wiki/Maalum:OrodhayaWatumiaji/sysop Muddyb Mwanaharakati Longa 12:41, 6 Julai 2024 (UTC)
- Nafikiri tunaweza kupendekeza kuwaondoa hao. Idadi itapungua. Muddyb Mwanaharakati Longa 13:51, 7 Julai 2024 (UTC)
- Labda sikueleweka. Niliomba kujua kwa nini hao 4 wa mwisho bado wanaonekana katika orodha rasmi. Asante.
Jedwali la Afrika Kusini
Mambo, naona kwamba umehariri makala ya Afrika Kusini ili wakabidhi tu waweze kuhariri makala hiyo. Kwa kuwa suala la majedwali ya nchi limeshatatuliwa, ungeweza kuwezesha kuhariri makala hiyo? Kisare (majadiliano) 09:35, 25 Agosti 2024 (UTC)
- Sawa. Ngoja niondoe zuio. Karibu tena ndugu! MuddybLonga 18:03, 25 Agosti 2024 (UTC)