Nyota maradufu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Kisare (majadiliano | michango)
No edit summary
multiple star system ni mfumo wa nyota mbili au zaidi. lakini, binary stars (nyota maradufu) ni mfumo wa nyota mbili tu.
Mstari 1:
[[Picha:Procyon A & B Couple Binaire.ogv|400px|thumb|Miendo ya nyota maradufu [[Procyon (nyota)|Procyon]] A na B katika [[Mbwa Mdogo (kundinyota)|kundinyota Mbwa Mdogo (Canis Minor)]] ya kuzunguka kitovu cha graviti cha pamoja]]
'''Nyota maradufu''' (kwa [[Kiingereza]]: ''binary star'', ''double star'' au ''multiple star system'') ni [[nyota]] [[mbili]] au zaidi zinazokaa karibu kwenye [[anga la ulimwengu|anga ya ulimwengu]] kiasi cha kuvutana kwa [[graviti]] yake hadi kuzungukana. Kwa lugha nyingine ni mfumo wa nyota mbili au zaidi(Multiple Star System). [[Idadi]] yake ni kubwa, zikizidi kutambuliwa kutokana na matumizi ya [[darubini]] za kisasa. Sehemu kubwa ya nyota angavu ni nyota maradufu au sehemu ya mfumo wa nyota zaidi ya mbili.<ref>[https://www.space.com/22509-binary-stars.html Binary Star Systems: Classification and Evolution], tovuti ya space com ya 23 Agosti 2013, iliangaliwa Januari 2018.</ref>
 
Nyota zinazoonekana [[Dunia|Duniani]] kuwa karibu si nyota maradufu halisi. Hali hii inaweza kutokea kama nyota mbili zinabahatika kuonekana karibu sana kwa mtazamaji kwenye Dunia ingawa hali halisi kuna [[umbali]] mkubwa kati yao na haziathiriani kwa graviti yake.