Karibu katika ukurasa wangu wa mtumiaji! Naitwa Kisare. Mi ni mwanafunzi, mchunguzi wa elimu anga (astronomy), na mhitimu wa University of Chicago. Nachungua mifumo ya sayari na korona ya Jua.

Huku unaweza kusoma kazi zangu za uchunguzi: https://orcid.org/0009-0006-7664-877X