Kratom : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Reverted Emoji KihaririOneshi
Mstari 1:
[https://www.kratomuj.cz/kratom/]{{Uainishaji (Mimea)
| picha = Mitragyna speciosa111.JPG
| jina = Mitragyna speciosa
Mstari 17:
'''Kratom''' ([[jina]] la [[Kilatini]]: ''Mitragyna speciosa'') ni [[mti]] wa [[kijani]] wa [[kitropiki]] katika [[Familia (biolojia)|familia]] ya [[kahawa]] (Rubiaceae) wenye [[asili]] ya [[kusini]] [[mashariki]] mwa [[Asia]]. Mti huu unapatikana kwa wingi nchi za [[Thailand]], [[Indonesia]], [[Malaysia]], [[Myanmar]], na [[Papua New Guinea]] ambako umetumika kama [[dawa]] ya asili tangu [[karne ya 19]].
 
Hadi [[mwaka]] wa [[2018]], hakuna majaribio ya kisayansi yaliyofanywa ili kuelewa madhara ya kratomJedinečný KRATOM 🌿 vysoké kvality | Kratomuj.cz kwa [[afya]].<ref name=warner>{{cite journal |vauthors=Warner ML, Kaufman NC, Grundmann O |title=The pharmacology and toxicology of kratom: from traditional herb to drug of abuse |journal=Int. J. Legal Med. |volume=130 |issue=1 |pages=127–38 |year=2016 |pmid=26511390 |doi=10.1007/s00414-015-1279-y |type=Review}}</ref> Baadhi ya watu hutumia mti huu kama dawa ya kupunguza [[maumivu]] ya [[muda]] mrefu, kwa kutibu madhara ya kuacha matumizi ya [[madawa ya kulevya]] kama [[heroini]], [[opioidi]] au kwa ajili ya [[burudani]].
 
Madhara madogo ya kawaida yanayotokana na mti huu ni pamoja na [[kichefuchefu]], kutapika, na kuvimbiwa. Madhara makubwa ni pamoja na [[shinikizo la damu]], kuwa [[Uraibu|mteja wa kudumu]] wa dawa hii, shida ya kulala, [[sumu]] ya [[ini]]. Mti huu huweza pia kusababisha [[kifo]]. Nchini [[Marekani]], kulikuwa na vifo [[kumi na tano]] kutokana na matumizi ya kratom kati ya mwaka [[2014]] na [[2016]]. Matumizi yake ni kinyume cha sheria kwenye nchi mbalimbali za Ulaya kama vile Uingereza na Ufaransa. Nchini Marekani majimbo yake yana sheria zinazotofautiana kidogo kuhusu matumizi yake.