Alfabeti ya Kigiriki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
ki/wa kopti
Mstari 7:
Ni alfabeti [[mama]] ya lugha za [[Ulaya]], kwa sababu ni asili ya [[Alfabeti ya Kilatini]] ambayo ni mwandiko unaotumiwa leo [[dunia]]ni kushinda miandiko mingine. Ni pia asili ya alfabeti za [[Kikyrili]] na [[Wakopti|Kikopti]]. Kuna miandiko mingine ya [[Historia|kihistoria]] iliyotokana na Kigiriki.
 
Asili ya mwandiko huo ulikuwa alfabeti ya [[Kifinisia]] inayoaminiwa kuwa alfabeti ya kwanza kabisa. Tofauti kubwaWagiriki niwaliongeza alama za [[vokali]] na(kama baadayea-e-i-o) badilikona lakubadilisha mwendo wa mwandiko kutoka kushoto kwenda kulia, tofauti na Kifinisia iliyoandikwa kutoka kulia kwenda kushoto jinsi ilivyo hadi sasa katika mwandiko wa [[Kiarabu]] na wa [[Kiebrania]] ambazo ni [[lugha za Kisemiti]] jinsi ilivyokuwa Kifinisia.
 
Sehemu ya herufi zilizopokewa kutoka Kifinisia ziliachwa baadaye kwa sababu lugha haikuwa na [[sauti]] za kulingana nazo. Tangu [[mwaka]] [[300 KK]] sehemu ya juu ya alfabeti inayoonyeshwa kwenye sanduku ilikuwa herufi za kawaida na alama za chini hazikutumiwa isipokuwa kama alama za [[namba]].