Namba isiyowiana : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Square root of 2 triangle.png|thumb|Kipeuo mraba cha 2 ni namba isiyowiana]]
'''Namba isiyowiana''' (''[[:en:irrational number]]''<ref>Jina la Kilatini-Kiingereza "irrational" haimaanishi "bila akili" ("ratio" kama akili, hekima, [[:en:reason]]) lakini "bila wianisho" ("ratio" kama uwiano, ''[[:en:relation (mathematics)|relation]]'') </ref>) ni [[namba halisi]] ambayo haiwezi kuonyeshwa kama wianisho safi baina [[namba kamili]].
 
Mifano mashuhuri ni [[kipeuo mraba]] cha 2 <math>\sqrt 2</math> na [[namba ya duara]] <big>π</big> (Pi). Kwa mfano [[pi (namba)|Pi]] ikiandikwa kwa namna ya desimali inaanza hivi 3.14159265358979 .... lakini kamwe haiwezi kuonyeshwa kikamilifu kwa kuongeza tarakimu baada ya nukta.