Afrika ya Mashariki ya Kijerumani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 142:
22. [[Mahenge]]</br>
 
[[Maeneo lindwa]] (jer. ''Residentur'') chini ya watawala wenyeji waliopaswa kufuata ushauri wa afisa mkazi Mjerumani (jer. ''Resident''):
 
[[Bukoba]] pamoja na vituo vya kijeshi Usuwi na Kifumbiro, kwa ajili ya watawala wa [[Wahaya]] </br>
[[Rwanda]], mji mkuu [[Kigali]], kituo cha kijeshi Mruhengeri</br>
[[Burundi]], mji mkuu [[Gitega]], pamoja na ofisi ndogo Usumbura ([[Bujumbura]]).</br>