Mapatano ya msingi ya UM kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '300px|thumb|nchi wanachama ya Mapatano ya UM kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi '''Mapatano ya Mfumo wa UM kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi'''...'
 
No edit summary
Mstari 4:
Nchi 194 zilipatana kuchukua hatua za kupunguza hatari za [[mabadiliko ya tabianchi]]. Nchi wanachama hukutana kila mwaka kwa kujadiliana na kupatana kuhuu hatua maalumu za kufikia shabaha hizi.
 
Matokeo ya mikutano hii ni Miniti za Kyoto na [[Mapatano ya Paris kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi]] ambako nchi ziliahidiana kuchukua hatua maalum ya kupakana [[kupanda kwa halijoto duniani]] kwa kiwango chini ya sentigredi mbili.
 
[[Category:Madhara asilia]]