Afrika ya Mashariki ya Kijerumani : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 26:
'''Afrika ya Mashariki ya Kijerumani''' (au: ya [[Kidachi]]; kwa [[Kijerumani]] ''Deutsch-Ostafrika -DOA-''; kwa [[Kiingereza]] ''German East Africa'') ilikuwa [[jina]] la [[koloni]] la [[Ujerumani]] huko [[Afrika ya Mashariki]] kati ya miaka [[1885]] na [[1918]]/[[1919]].
Eneo lake lilijumlisha nchi za kisasa za [[Tanzania]] bara (yaani bila [[Zanzibar]]), [[Burundi]] na [[Rwanda]]. Ilikuwa koloni kubwa kabisa la [[Dola la Ujerumani]].
==Eneo, mipaka na wakazi==
Mstari 44:
== Historia ya koloni ==
Historia ya koloni
#
# koloni
# mwisho wa utawala wa Kijerumani wakati wa [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] kuanzia mwaka [[1916]] wakati jeshi kubwa la [[Uingereza]] na [[Afrika Kusini]] pamoja na [[Ubelgiji]] lilivamia, hadi
Katika mapatano baada ya vita koloni
=== Utangulizi ===
|