Mapatano ya Paris kuhusu Tabianchi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
 
Mstari 1:
[[File:ParisAgreement.svg|thumb|350px|Nchi wanachama wa Mapatano ya Paris
{{legend|orange|Waliotiha sahihi na kuikubali kufuatana na sheria ya kila nchi}}
{{legend|#2fc92b|waliotia sahihi tu}}]]
'''Mapatano ya Paris kuhusu Tabianchi''' (''[[:en:Paris Agreement]]'', ''[[:fr:Accord de Paris]]'') ni mapatano yaliyokubaliwa mwaka [[2015]] mjini [[Paris]] ([[Ufaransa]]) kufuatana na [[Kongamano la Mfumo wa UM kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi]].