Njia Nyeupe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
[[Picha:Hubble2005-01-barred-spiral-galaxy-NGC1300.jpg|thumb|250px|Galaksi yetu jinsi inaaminiwa kuonekana vile kama tunaiangalia kutoka juu; picha ya galaksi ya mbali yenye mikono miwili ya parafujo]]
 
'''Njia Nyeupe''' (kwa [[ing.Kiingereza]] ''Milky Way''), pia '''majarra''' au "mkokoto wa kondoo za Sumaili" <ref>yaaniYaani njia ya kondoo wa Ismaili; kuhusu majina ya nyota na sayari zilizojulikana kwa Waswahili na hivyo kuwa na majina asilia linganisha [[Jan Knappert]], Swahili Islamic poetry, Brill 1971, Vol 1 uk 96-97 - taz google booksearch [http://books.google.de/books?id=yzsVAAAAIAAJ&pg=PA97&lpg=PA97&dq=swahili+milky+way&source=bl&ots=TTuUw8pwyY&sig=VpAq9mWXJ-BwDL5w0DwxouIpcGw&hl=de&ei=x9FATPawC4bG4AbppeDXDg&sa=X&oi=book_result&ct=result&resnum=1&ved=0CBUQ6AEwADgK#v=onepage&q=swahili%20milky%20way&f=false]</ref> ni [[jina]] la mlia mpana wa [[nyota]] nyingi unayoonekanaunaoonekana [[Anga|angani]] wakati wa [[usiku angani]] kama [[wingu]] jeupe linalong`aa.
 
Hali halisi hii ni jinsi tunavyoona [[galaksi]] yetu ambamo [[jua]] letu na [[mfumo wa jua|mfumo wake]] ni sehemu yake.
 
Galaksi yetu imekadiriwa kuwa na nyota zaidi ya 300,000,000,000. Umbo lake unafananaInafanana na kisahani chenye [[umbo]] la [[parafujo]]. [[Kipenyo]] cha kisahani hikihicho ni [[miaka ya nuru]] 100,000 ikiwa na [[unene]] wa miaka ya nuru 3,000.

Galaksi ya jirani iliyo karibu angani inaitwa [[Andromeda]] na ina [[umbali]] wa miaka ya nuru [[milioni]] 2.5 .
 
Isipokuwa [[sayari]] za jua letu na [[kometi]] ''(zinazoonekana mara chache tu)'' na [[galaksi ya Andromeda]] ''(inayoonekana kama nyota 1)'', nyota zote ni kama jua letu.
 
== Kuonekana kwa Njia Nyeupe kutoka duniani ==
[[Nyota]] karibu zote tunazoonatunazoziona kwa [[macho]] yetu wakati wa usiku ni sehemu za Njia Nyeupe. Wakati wa [[giza]] tunaweza kuona kati ya nyota 3,000 hadi 5,000 kwa macho yetu bila msaada wa [[darubini]]. Isipokuwa [[sayari]] za jua letu na [[kometi]] ''(zinazoonekana mara chache tu)'' na [[galaksi ya Andromeda]] ''(inayoonekana kama nyota 1)'' nyota zote ni majua kama jua letu. Si rahisi kuona nyota nyingi tukiwa mjini penye nuru nyingi wakati wa usiku kwa sababu mwanga wa taa za mjini unaakisiwa katika [[angahewa]] na kuleta matata ya kuona mwanga kutoka nje ya angahewa.
 
Si rahisi kuona nyota nyingi tukiwa [[Mji|mjini]], kwenye [[taa]] nyingi wakati wa usiku, kwa sababu mwanga wa taa za mjini unaakisiwa katika [[angahewa]] na kuzuia kuona mwanga kutoka nje ya angahewa.
 
Nyota zilizo nyingi za Njia Nyeupe hatuwezi kuziona wala kubainishakuzibainisha, kwa hiyo zinatokea machoni kama [[ukungu]] mweupe tu.
 
Uwezo wetu wa kuona nyota nyingi umepungukiwaumepunguzwa na kuwepo kwa [[mavumbi ya kinyota]] kati ya mahali petu na [[kitovu]] cha galaksi.
 
== Muundo ==
Galaksi yetu ina umbo la parafujo (spirali) ya kisahani. Mahali petu pamoja na jua pako kando kiasi ndani ya uwiano wa kisahani hiki. Tuko takriban 2/3 ya umbali wa kipenyo kutoka kitovu cha kisahani.
 
IkitazamiwaIkitazamwa kutoka juu galaksi yetu ina umbo la parafujo lenye [[mikono]] mbalimbali. Picha hii tumepatatumeipata kutokana na kuangalia galaksi za mbali angani zinazoonekana kutoka juu na parafujo inaonekana.
 
== Marejeo ==
Line 27 ⟶ 33:
* [http://www.astro.caltech.edu/~george/ay20/Chiappini-MilkyWay.pdf Cristina Chiappini, The Formation and Evolution of the Milky Way, American Scientist, November/December 2001, pp. 506-515]
 
== Viungo vya Njenje ==
{{Commons category|Milky Way Galaxy}}
* [http://www.atlasoftheuniverse.com/galaxy.html The Milky Way Galaxy] from ''An Atlas of the Universe''