Mjomba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Mjomba''' ni jina ambalo mtoto (wa kiume au wa kike) anamuita mwanamume ambaye ni ndugu (mkubwa au mdogo kwa umri) wa mama...'
 
No edit summary
Mstari 8:
 
[[Wajibu]] na [[haki]] kati ya mjomba na mpwa wake vinategemea [[utamaduni]] wa mahali. Katika baadhi ya [[Kabila|makabila]], kama yale yanayotia maanani [[ukoo]] wa [[mama]] kuliko ule wa baba, mjomba ni muhimu kuliko baba mzazi.
 
Pengine kwa [[heshima]] mtu anaweza akamuita mwingine "mjomba" ingawa hawana undugu wowote wa karibu.
 
{{mbegu-utamaduni}}