Mapigano ya Lepanto : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Mapigano ya Lepanto''' yalifanyika baharini tarehe 7 Oktoba 1571 kati ya Wakristo na Waislamu, meli zao zilipokutana katika ...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Battle of Lepanto 1571.jpg|300px|''Mapigano ya Lepanto'' yalivyochorwa mwishoni mwa [[karne ya 16]].]]
'''Mapigano ya Lepanto''' yalifanyika [[bahari|baharini]] tarehe [[7 Oktoba]] [[1571]] kati ya [[Wakristo]] na [[Waislamu]], [[meli]] zao zilipokutana katika [[Ghuba ya Patras]] (karibu na [[Ugiriki]]). [[Lepanto]] ni [[jina]] la [[bandari]] zilipoondoka meli za [[Dola la Osmani]], wakati zile za mshikamano wa Kikristo zilitokea [[Messina]] ([[Italia]]).