Wajibu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Wajibu
(Hakuna tofauti)

Pitio la 06:25, 10 Juni 2017

wajibu ni kazi au jambo fulani ambalo nilazima ufanye au kutimiza kila mtu ana wajibu wake atakama awe ni baba wafamilia mfano wa waufanya wajibu kwa baba:kulinda familia yake

        kusomesha watoto wake
        kufanya kazi kwa bidii

kwa mama:kumsaidia baba kazi

        kuwapa watoto upedokwani mama ndiye anayekaa na watoto kwa muda mwingi kuliko baba ila si mama tu
       kufanya kazi

kwa mtoto:kusoma kwa dibii

         kutii wazazi
         kufanya kazi za nyumbani n.k

kusoma kwa bidii