Maktaba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
MAKTABA
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:32, 12 Juni 2017

==(=MAKTABA=)== NI sehemu au jengo lilomaalum kwa ajili ya kujisomea kujifunza juu ya vitu mbalinbali

asilimia kubwa maktaba huwa na vitabu vya aina mbalimbali mfano kiada na ziada na pia unaweza kuwa na maktaba yako binafsi na kuna aina za maktaba ila zote hazina tofauti kwani zina lengo moja kutoa elimu licha ya kuwa na maktaba yako unaweza mashule na ukaingia maktaba kwani kuna maktaba ya shule

nakuna maktaba ya kijiji na ya wilaya  na ya mkoa na hata ya taifa zote hizikwa ajili ya elimu