Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
MALARIA
Malaria ni ugonjwa hatari huambukwizao na mbu jike aitwae anoferensi .
Mbu huzaliana kutokana na jinsi ya utunzaji wa mazingira yenu popote pale palipo na nyasi ndefu au madimbwi ya maji yaliyotuama hapo mbu huweza kuzaliana ili tuweze kuepukana na ugonjwa huo
nilazima kufuata taratibuzote za utunzaji wa mazingira yetu
 
Pia tunaweza kujikinga na malaria kwa kulala ndani ya chandalua kilichowekwa dawa.Malaria ni ugonjwa unaotibika dalili zake ni kama kuumwa na kichwa, lakini kwa sasa nyakati zimebadilika
sio kila homa ni malaria kwahio ni lazima kenda hospitari ukapime