Anatomia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Mondino - Anathomia, 1541 - 3022668.tif|thumb|[[Mondino dei Liuzzi]], ''Anathomia'', 1541]]
'''Anatomia''' (pia '''anatomi'''<ref>Anatomi ni pendekezo la [[KyT]] kutokana na matamshi ya Kiingereza</ref>, ''[[:en:anatomy]]'', kutoka [[Kigiriki]] ἀνατέμνειν ''anatemeinanatemnein - kupasua, kufungua'') ni [[elimu]] ya [[mwili|miili]] ya [[viumbehai]] kama [[binadamu]], [[wanyama]] na [[mimea]]. Inachungulia [[muundo]] na maumbileumbile yala mwili na sehemu au [[viungo]] vyake.
 
[[Wataalamu]] wa anatomia hufungua mwili na kuikata kwa sehemu zake kwa kusudi la kuongeza elimu ya muundo wake.
 
Elimu hii inasaidia kuelewa magonjwa, sababu na matokeo yao. Ni pia msingi wa mafundisho ya tiba na elimu ya matibabu.
 
Elimu hii inasaidia kuelewa [[magonjwa]], pamoja na [[sababu]] na matokeo yaoyake. Ni pia msingi wa mafundisho ya [[tiba]] na elimu ya matibabu.
 
==Marejeo==
<references/>
 
 
== Tazama pia ==
* [[Tiba]]
* [[Biolojia]]
* [[Sayansi]]
Line 20 ⟶ 17:
[[Jamii:Anatomia|*]]
[[Jamii:Mwili]]
[[Jamii:Biolojia]]