Mvua : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Vindhya.jpg|thumb|300px|Mawingu wa mvua mlimani]]
'''Mvua''' ni matone ya [[maji]] yanayoanguka chini kutoka mawingu angani. Kama matone yafikia kipenyo cha zaidi 0.5 [[milimita|mmmawingu]] huitwa mvua. Kama matone ni madogo zaidi kunaitwa [[manyonyotaAnga|angani]] . Mgongoni mwa ardhi mvua imetapaka kisawasawa.
 
Mvua ni aina ya [[usimbishaji]]. Kama matone yafikia [[kipenyo]] cha zaidi ya [[milimita]] 0.5 huitwa mvua. Kama matone ni madogo zaidi kunaitwa [[manyonyota]]. Mgongoni mwa ardhi mvua imetapaka kisawasawa.
Mvua ni aina ya [[usimbishaji]].
 
==Kutokea kwa mvua==
Asili ya mvua ni [[mvuke]] wa [[maji]] katika [[angahewa]]. Kiasi cha mvuke hewani kutajwa kama [[gramu]] za maji kwa [[kilogramu]] ya [[hewa]]. <ref>{{cite web|author=Steve Kempler|year=2009|url=http://daac.gsfc.nasa.gov/PIP/shtml/atmospheric_water_vapor_or_humidity.shtml|title=Parameter information page|publisher=[[NASA]] [[Goddard Space Flight Center]]|accessdate=2008-12-27 |archiveurl = https://web.archive.org/web/20071126083414/http://daac.gsfc.nasa.gov/PIP/shtml/atmospheric_water_vapor_or_humidity.shtml |archivedate = November 26, 2007}}</ref><ref>{{cite book |url=http://www.atmos.washington.edu/~stoeling/WH-Ch03.pdf| page=80|accessdate=2010-01-30|date=2005-09-12|author=Mark Stoelinga|title=Atmospheric Thermodynamics|publisher=[[University of Washington]]}}</ref> Kiasi cha [[unyevu]] (yaani maji) katika angahewa huitwa [[unyevuanga]]. uwezoUwezo wa hewa kushika unyevuanga hutegemea [[halijoto]] ya hewa. Hewa [[baridi]] ina uwezo mdogo kutunza unyevu ndani yake, kiasi kinaongezeka kadrikadiri halijoto iko juu zaidi. Pale ambakoambapo hewa inafikia hali ya kushiba unyewaunyewu unaanza kutonesha yaani matone kutokea. Wakati matone yanafikia kiwango fulani cha [[uzito]] yanaanza kuanguka chini yaani mvua inaanza kunyesha.
 
 
==Tanbihi==
{{marejeo}}
 
{{mbegu-sayansi}}