Mfumo wa Jua : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
muundo
Mstari 1:
[[Picha:Solar sys.jpg|right|350px|thumb|Jua letu na sayari zake.]][[File:Sayari za Jua - mlingano ukubwa.png|350px|thumb|Sayari nne kubwa ziliundwa hasa na gesi, nyingine ni sayari ndogo kama dunia yetu za mwamba.<ref>Hand, Eric (January 20, 2016).</ref>]]
'''Mfumo wa jua''' ([[ing.]] ''[[:en:solar system|solar system]]'') ni utaratibu wa [[jua]] letu, [[sayari]] na [[sayari kibete]] zinazolizunguka pamoja na [[Mwezi (gimba la angani)|miezi]] yao, [[asteroidi]], [[meteoridi]], [[kometi]] na [[vumbi ya angani]], vyote vikishikwa na [[mvutano]] wa jua.
 
[[Utaalamu]] kuhusu mfumo wa jua hujadiliwa katika [[fani]] ya [[astronomia]].
 
==Muundo wa mfumo wa jua==
Kwa kawaida siku hizi, baada ya kutambua [[Pluto]] kama sayari kibete, huhesabiwa sayari [[nane]] zinazozunguka jua. Lakini miaka ya nyuma magimba makubwa yamegunduliwa angani ambayo bado hayajakubaliwa kama yahesabiwe kuwa sayari au aina ya asteoridi.
Karibu masi yote ni jua lenyewe lililo na asilimia ya 99.86 za masi ya mfumo wake. Kwa hiyo sayari zote kwa pamoja na asteroidi ni asilimia 0.14 tu.
 
Umbali kati ya jua na dunia yetu ni takriban kilomita milioni 150. Umbali huu huitwa „[[kizio astronomia]]“ ([[:en:astronomical unit]] AU). Sayari ya mbali ni Neptuni iko kwa umbali wa vizio astronomia 30 kutoka kwa jua. Magimba ya nje sana yanazunguka jua kwa umbali wa vizio astronomia 50 au zaidi.
 
Pamoja na sayari kuna idadi kubwa ya violwa vingine. Vingi ni vipande vidogo vya mwamba vinavyokusanyika katika kanda 3 zenye umbo la mwirino ambazo ni ukanda wa asteroidi, ukanda wa Kuiper na wingu la Oort.
 
Sayari hupatikana kwa vikundi viwili. Jua linazungukwa kwanza ya sayari 4 za Utaridi, Zuhura, Dunia na Mirihi ambazo ni ndogo na ambazo ni sayari za mwamba kama dunia.
 
Baada ya njia mzingo wa Mirihi kuna pengo lenye umbali wa vizio astronomia zaidi ya tatu na nusu hadi Mshtarii. Katika pengo hili linazunguka ukanda wa asteroidi mwenye violwa malakhi pamoja na sayari kibete ya Ceres.
 
Nje ya ukanda wa asteroidi hufuata kundi la sayari za gesi ambazo ni kubwa kushinda sayari za ndani. Sehemu kubwa ya masi yao si mwamba bali gesi iliyoganda na kuwa imara kutokana na baridi kali.
 
[[Orodha]] inayofuata bado inahitaji kuangaliwa kwa sababu kuna tofauti kati ya [[kamusi]] na [[vitabu]] mbalimbali jinsi ya kutaja sayari fulani.
 
== Sayari za jua letu ==
Kuna magimba 8 yanaozunguka jua letu na kuitwa sayari. Hadi Zohali (ing. Saturn) zinaonekana kwa macho na tangu zamani zilijulikana kwa majina yao. Sayari ya saba na nane ziligunduliwa tu tangu kupatikana kwa darubini. Hadi mwaka 2006 [[Pluto]] iliyopo nje ya Neptuni ilihesabiwa kiuwa sayari lkini tangu azimio la Umoja wa Wanastronomia Pluto inaitwa sasa „sayari kibete“ pamoja na mengine, si sayari kamili tena.
 
Sayari ambazo zipo katika mfumo wa jua ni kama zifuatazo:
 
Line 101 ⟶ 113:
| align="center" | 13
|-
| ''[[Pluto]]'' <br />'<ref>Vitabu vichache vinatumia kwa kosa jina "Utaridi" ambalo ni jina la sayari ya kwanza inayoitwa kwa Kiingereza "Mercury"</ref>
| align="center" | 0.18
| align="center" | 0.002
| align="center" | 39.5
| align="center" | 248.5
| align="center" | 17.1&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;
| align="center" | -6.5
| align="center" | 3
|}