Mfumo wa Jua : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
muundo |
No edit summary |
||
Mstari 5:
==Muundo wa mfumo wa jua==
Karibu [[masi]] yote ni ya jua lenyewe,
[[Umbali]] kati ya jua na [[dunia]] yetu ni takriban [[kilomita]] [[milioni]] 150. Umbali huu huitwa „[[kizio astronomia]]“ ([[:en:astronomical unit]] AU). Sayari ya mbali ni [[Neptuni]]
Pamoja na sayari kuna [[idadi]] kubwa ya [[violwa]] vingine. Vingi ni vipande vidogo vya [[mwamba]] vinavyokusanyika katika kanda 3 zenye [[umbo]] la mwirino ambazo ni [[ukanda wa asteroidi]], [[ukanda wa Kuiper]] na [[wingu la Oort]].
Sayari hupatikana kwa vikundi viwili. Jua linazungukwa kwanza
Baada ya [[njia mzingo]] wa Mirihi kuna pengo
Nje ya ukanda wa asteroidi hufuata kundi la sayari za gesi ambazo ni kubwa kushinda sayari za ndani. Sehemu kubwa ya masi yao si mwamba bali gesi iliyoganda na kuwa imara kutokana na baridi kali.▼
▲Nje ya ukanda wa asteroidi hufuata kundi la sayari za gesi ambazo ni kubwa kushinda sayari za ndani. Sehemu kubwa ya masi
== Sayari za jua letu ==
Kuna magimba 8
Sayari ambazo zipo katika mfumo wa jua ni kama zifuatazo:
[[Namba]] zote zinazotaja sifa mbalimbali za sayari zinaonyesha [[kipimo]] kulingana na [[tabia]] za dunia yetu kuwa "1". Kuhusu ma[[jina]] ya sayari kadhaa kuna
{| class="toccolours" border=1 cellspacing=0 cellpadding=2 style="text-align:center; border-collapse:collapse;"
|