Ukoloni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
[[Picha:Colonization 1945.png|thumbnail|450px|[[Ramani]] ya ukoloni duniani mwishoni mwa [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]] mwaka [[1945]].]]
'''Ukoloni''' ni mfumo wa [[taifa]] moja kuvuka mipaka yake na kutawala maeneo ya mbali yanayokaliwa na watu wengine kwa nyanja za [[uchumi]], [[utamaduni]] na [[jamii]]. Maeneo hayo yanaweza kuitwa ma[[koloni]] ya kawaida au ma[[eneo lindwa]] tu.
 
==Jina==
[[Neno]] "Kolonikoloni" inatokanalinatokana na [[Kilatini]] ''colonia'' (kupitia ing.[[Kiingereza]] ''colony''). Ni kwamba [[Roma ya Kale]] ilipanushailipanua eneo lake kwa kuanzisha [[miji]] mipya ya nje kwa kuteua [[raia]] na kuwapa [[ardhi]] kwa ajili ya [[shamba|mashamba]] huko. Hiyo iliitwa koloni.

[[Milki]] nyingine za kale walitumiazilitumia mtindo huohuo kama vile [[Wagiriki wa Kale]] na [[Wafinisia]].
 
Neno hilihilo la Kilatini lilitumiwa baadaye kwa ajili ya kutaja makazi mapya ya watu kutoka eneo moja katika eneo la mbali. Ilhali hatua hii ilimaanisha mara nyingi pia upanuzi wa [[utawala]] wa eneo mama, neno likataja baadaye pia eneo linalotawaliwa na nchi ya mbali.
 
==Historia==