Mkate : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Mkate na dini: tafsiri mbili
Mstari 45:
Ombi la [[nne]] katika Mathayo linataja "mkate wa kila siku". Katika [[tafsiri]] za [[Kiswahili]] za sala hii ombi limetafsiriwa kwa njia mbili tofauti.
 
Utamaduni wa [[Waafrika]] wengi haukujua mkate kama chakula. Neno "mkate" kiasili kiliamaanisha kipande cha chochote kilichokatwa na sehemu kubwa zaidi.
Utamaduni wa [[Waafrika]] wengi haukujua mkate kama chakula kikuu. Hivyo [[Waprotestanti]] walitafsiri hapa "riziki", wakielewa maana ya mkate katika sala si chakula kile tu, lakini mahitaji ya [[mwili]] kwa jumla. Lakini tafsiri hiyo haikuzingatia maneno ya Yesu yanayofafanua aina ya mkate aliyomaanisha: τον επιουσιον, yaani "ulio wa juu kuliko dutu".
 
Wamisionari Wazungu Waluteri waliofika Afrika ya Mashariki walitoka Ujerumani ambako mkate si chakula cha kila mlo wakajua katekesimo ya Martin Luther ambako swali "Mkate wa kila siku unamaanisha nini" linajibiwa: "Chochote tunachohitaji kwa mwili na maisha kama vile kula, kunywa, nguo,viatu, nyumba, kaya, shamba...". Hapo waliona kuna neno la Kiswahili cha "riziki" kinachotaja maana ya chakula ambacho wakati ule hakikujulikana kwa Waafrika.
Kwa [[Wakatoliki]] ni muhimu kusisitiza uhusiano kati ya ombi hilo na [[ekaristi]], chakula cha [[roho]] kilichotolewa na [[Yesu]] kama mkate wakati wa [[karamu ya mwisho]]. Tena mwenyewe alijiita "mkate wa [[uzima]]" ([[Yoh]] 6). Hilo bila kukataa kwamba ombi linahusu pia chakula cha [[mwili]] ambacho Yesu alisema "kinakuja kuharibika", lakini [[Mungu Baba|Baba]] mwema anajua tunakihitaji.
 
Wamisonari Wakatoliki walitoka nchi kama Ufaransa na Italia ambako mkate ulikuwa sehemu ya kila mlo kwa hiyo walitafuta neno linaloweza kutaja chakula chenyewe wakiona "mkate" unakatwa walichukua neno hili. Pamoja na utamaduni wao wa nyumbani walisisitiza zaidi ya kuwepo kwa Kristo katika chakula kinachoshirikishwa katika [[ekaristi]] kuwa chakula cha [[roho]] kilichotolewa na [[Yesu]] kama mkate wakati wa [[karamu ya mwisho]].
 
== Picha ==