Mshtarii : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Portrait of Jupiter from Cassini.jpg|thumb|250px|right|Picha ya Mshtarii iliyopigwa na [[chombo cha angani]] [[Cassini]]]]
'''Mshtarii''' (pia '''Mshiteri''', '''Mushtarii''' au '''Mshatira'''<ref>kuhusu majina ya sayari zilizojulikana kwa Waswahili na hivyo kuwa na majina ya asilia linganisha [[Jan Knappert]], Swahili Islamic poetry, Brill 1971, Vol 1 uk 96-97 - taz google booksearch [http://books.google.de/books?id=yzsVAAAAIAAJ&pg=PA97&lpg=PA97&dq=swahili+milky+way&source=bl&ots=TTuUw8pwyY&sig=VpAq9mWXJ-BwDL5w0DwxouIpcGw&hl=de&ei=x9FATPawC4bG4AbppeDXDg&sa=X&oi=book_result&ct=result&resnum=1&ved=0CBUQ6AEwADgK#v=onepage&q=swahili%20milky%20way&f=false]</ref> , kutokana na [[Kiarabu]] "المشتري" al-mshtari; na hata '''Jupita''' kutokana na [[Kiingereza]] '''Jupiter'''<ref>Umbo nyingine ni '''[[Sumbula]]''' inayotumiwa kwa kosa na vitabu kadhaa za shule pia na kamusi chache. Sumbula ni jina la la Kiswahili la nyota Alfa Virginis au [[:en:Spica]], si la sayari yoyote</ref>) ni [[sayari]] ya tano toka kwenye [[jua]] katika [[Mfumo wa jua]] na sayari zake.
 
[[Picha:Jupiter Earth Comparison.png|thumb|left|Ulinganishi wa ukubwa wa [[Dunia]] yetu (kushoto) na Mshtarii pamoja na "doa jekundu" inayozunguka katika [[angahewa]] ya Mshtarii]]