Kasi ya nuru : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
<big>Maandishi makubwa</big>'''Kasi ya nuru''' (pia: '''kasi ya mwanga''', kwa [[ing.Kiingereza]] ''speed of light'') ni [[kasi]] yake iliyopimwa hata imekubaliwa kuwa [[nuru]] inatembeainakwenda karibu [[kilomita]] [[laki]] 3[[tatu]] kwa [[sekunde]] moja <ref>Kikamilifu ni mita 299,792,458 kwa [[sekunde]] moja</ref> katika [[ombwe]]. Kama nuru inapitainapitia katika [[hewa]] [[kasi]] yake inapungua.
 
Katika [[nadharia ya uhusianifu]] ya [[Albert Einstein]] kasi ya nuru inadhaniwa kuwa ni ileile [[wakati]] wowote, pia katika hali yoyote. Yaani kasi inabaki ileile hata kama nuru inatoka katika chombo chenye kasi yenyewe au kama mtazamaji ana mwendo wake mwenyewe. Katika [[nadharia]] hiihiyo hakuna mwendo mwenyewenye kasi kushinda nuru. Kasi ya nuru imekuwa [[kipimo]] cha kimsingimsingi katika [[sayansi]] za [[fizikia]] na [[unajimu]].
 
Kasi hiyo haihusu nuru pekee inayoonekana kwana [[macho]] ya [[binadamu]] lakini pia kwa aina mbalimbali ya [[mnururisho]] kama [[mawimbi ya redio]] n.k.
 
Tangu [[safari]] ya kwanza ya watu kufika juu ya [[mwezi]] chini ya [[Mradi wa Apollo]] wa [[NASA]] [[tabia]] ya nuru kuwa na kasi ilionekana kwa watazamaji wote. Kila safari kituo cha NASA katika mji wa [[Houston]] iliwaita [[wanaanga]] kwa [[redio]]: jibu ilichukualilichukua sekunde kadhaa hadi kufika kutokana na [[umbali]] wa kilomita lakhi tatu kati ya [[dunia]] na mwezi, hivyo mazungumzo yaliendelea kwa vituo vya kusubiri hadi [[sauti]] imefikailipofika na kurudi.
Kama siku moja wanaanga watasafiri mbali zaidi hadi [[Mirihi]] au [[Zohali]] muda huu utaongezeka kutokana na umbali na kasi ya nuru inayobaki ileile.
 
Kama siku moja wanaanga watasafiri mbali zaidi, hadi [[Mirihi]] au [[Zohali]] ,muda huu utaongezeka kutokana na umbali na kasi ya nuru inayobaki ileile.
 
==Tanbihi==
{{marejeo}}
[[Jamii:Vipimo]]
[[Jamii:Fizikia]]