Tofauti kati ya marekesbisho "Ngisi"

1,540 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
Nyongeza matini
d
(Nyongeza matini)
{{Uainishaji
| rangi = #D3D3A4
| jina = Ngisi
| picha = Sepioteuthis lessoniana (Tokyo Sea Life Park, Kasai Rinkai Suizokuen, Japan) 2.jpg
| upana_wa_picha = 250px
* [[Oegopsina]]
}}
'''Ngisi''' ni [[mnyama|wanyama]] wa [[bahari]] wenye [[mnyiri|minyiri]] kumi. Minane baina ya hiyo huitwa [[mkono|mikono]] na miwili mingine ni minyiri kweli. Kwa urefu wote wa chini ya mikono kuna [[kikombe|vikombe]] vya kumung'unyia vilivyo na vikulabu mara nyingi. Minyiri inabeba vikombe kama hivi juu ya bako mwishoni.
 
Minyiri hutumika kwa kukamata wanyama wadogo na mikono hutumika kwa kushika mawindo wakati mnyama akiyakula. Ngisi wana [[mdomo|domo]] linalofanana na lile la [[kasuku]] ili kupapua nyama kutoka mawindo.
 
Ngisi huogelea kwa kuondoa [[maji]] kwa nguvu kupitia mrija ([[w:Siphon (mollusc)|siphon]]) wao. Wanaweza kubadilisha rangi yao na kufanana na kinyume ili kujificha kwa mawindo na maadui. Wakivumbuliwa na adui huruka wakitoa ghubari la wino ili kumkanganya.
 
Ukubwa wa takriban spishi zote ni chini ya [[sm]] 60 lakini [[ngisi mkubwa]] inaweza kufika [[m]] 13 na [[ngisi dubwana]] inafika hata m 14. Ngisi dubwana mkubwa kuliko wote waliokamatwa alivuliwa mwaka 2007 karibu na [[Antakitiki]]. Uzito wake ulikuwa [[kg]] 495 na urefu wake m 10.
Pweza wanaweza kushambulia [[mtu|watu]] lakini hii ni adimu. Wakichochewa wanauma kwa domo lao na wanatoa [[sumu]], lakini spishi moja tu, [[pweza mazingo-buluu]], ana sumu inayoweza kuua watu
 
==Kama chakula==
Ngisi huliwa sana na watu duniani kote. [[Chakula]] hiki huitwa [[kalamari]].
 
==Picha==
<gallery>
Giant squid tentacle club.jpg|Mnyiri
Bec squid.jpg|Mikono na domo
Architeuthis.jpg|Ngisi mkubwa katika Makumbusho ya Taifa ya Hispania
N20090116 120650--pan.jpg|Ngisi dubwana katika Makumbusho Te Papa, Wellington, Nyuzilandi
</gallery>
 
{{Mbegu-mnyama}}
10,967

edits