Kwanza Unit : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
+wanachama kichwa cha habari
Mstari 34:
Rhymson mmoja wa waanzilishi wa kundi, alishuhulikia kueneza neno zuri juu ya rap katika mahojiano kadha wa kadha. Hip-hop si kwa ajili ya "wahuni" tu na vilevile kuna ujumbe mzito wa kusikiliza. "Tatizo kubwa ambalo linazunguka katika jamii kwa ujumla inadhani ya kwamba rap ni kwa ajili ya wahuni. Hili pia linapelekea kutia ugumu wa kuchezwa katika maredio. Vyombo vya habari vinahitaji ujumbe sahihi.
Jambo ambalo kwangu ni chanya linaweza lisiwe chanya kwako. Iwapo polisi watanitenda vibaya naweza kulaani ili nipunguze machungu yangu baada ya kukerwa na polisi. Kama nitasema hayo katika mashairi, ile kisanii zaidi, haina ulazima redioni wasema ujumbe huu ni chanya au la. Wanaweza kusema ni hasi kimtazamo wao, kwa sababu kila mtu ana haki ya kufikiria watakavyo. Katika hip hop naweza kuelezea mtazamo wangu kwa kukupa changamoto, hivyo basi siku inayofuata unakuja kwangu na kusema: Una maana gani unaposema hivyo?" [http://www.musikmuseet.se/mmm/africa/ku.html]
==Wanachama wa KU Crew==
 
Tangu hapo kundi likafa, lakini baadhi ya wanachama wake waliendelea kupiga kazi za kujitegemea. Kwanza Unit walikuwaialikuwa na wanachama kadhaa na mabadiliko kadha wa kdhakadha. Wanachama hao ni pamoja na:
 
* Chief Rhymson(Ramadhan A. Mponjika)
* KBC aka K-Singo (Kiba ChaKibacha Singo)
* Adili "Nigga One" Kumbuka – amekufa 1993
* D-Rob(Robert Mwingira) – amekufa 20022001
* Eazy-B (Bernard Luanda)
* Papa Sav (Makanga Lugoe)
Mstari 50:
* Gaddy Groove
 
Vileivile kuna mzunguko mkubwa wa wanachama wanaotajwa kama ''Kwanza Unit Foundation'' au ''Kwanzanians' - Wakwanza.
 
Kwanza Unit Foundation: