Kondoo (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:AriesCC.jpg|300px|thumb|Nyota kuu za Hamali (Aries)]]
'''Hamali''' ni [[kundinyota|kundinyota]] ya [[zodiaki]] inayojulikana pia kwa jina lake la kimagharibi la [[:en:Aries constellation|Aries]]<ref>[[Uhusika milikishi]] ''([[:en:genitive]])'' ya neno "Aries" katika lugha ya [[Kilatini]] ni "Arietis" na hili ni umbo la jina linaloonekana katika majina ya nyota za kundi hili kama vile Alfa Arietis, nk.</ref>. Hamali ni pia jina la kimataifa kwa nyota angavu zaidi kati kundinyota hii.
 
Jinsi ilivyo kwenye kundinyota zote, [[nyota]] za Hamali hazikai pamoja hali halisi lakini zinaonekana vile tu kutoka duniani. Hali halisi kuna umbali mkubwa kati yao. Kwa hiyo "Hamali" inataja eneo la angani jinsi inavyoonekana kutoka dunia.
 
==Jina==
Line 17 ⟶ 19:
Alpha Arietis inajulikana kimataifa pia kwa jina la "Hamali" kama majina mengine ya [[Kiarabu]] yaliyopokelewa na wanaastronomia wa Ulaya. Ni nyota jitu yenye rangi ya kichungwa na [[uangavu unaoonekana]] wa 2.0. Umbali wake na dunia ni [[miaka ya nuru]] 66 na uangafu haĺisi ni −0.1.
 
[[Beta Arietis|β Arietis]] inayoitwa pia Sheratan ina rangi ya buluu-nyeupe na uangavu unaoonekana wa 2.64 ikiwa na umbali wa miaka ya nuru 59 kutoka dunia.
 
==Tanbihi==
<references/>
 
==Marejeo==
* Richard Hinckley Allen: Star-Names and their Meanings; kwa G. E. Stechert New York, Leipzig, London, Paris 1899, ukurasa 75 ff ([https://ia801402.us.archive.org/14/items/starnamesandthe00allegoog/starnamesandthe00allegoog.pdf online hapa kwenye archive.org])
* Jan Knappert, 1993: The Swahili Names of Stars, Planets and Constellations; The Indian Ocean Review September 1993 Volume 6 No. 3 September 1993, kurasa 6-7, ISSN 1031-2331
 
 
== Viungo vya Nje ==
 
<references/>
 
[[Jamii:kundinyota za Zodiaki]]