Trevor Noah : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 17:
| tovuti = www.treornoah.com
}}
'''TrevohTrevor Noah''' (amezaliwa Febuary[[tarehe]] [[20, Februari]] [[1984]]) ni mchekeshaji na mtangazaji wa radio na televisheni kutoka [[Afrika ya Kusini]] na mchekeshaji, maarufu sana kwa utangazaji wake kwenye kipindi cha The Daily Show katika mtandao wa kimarekaniKimarekani wa Comedy Central tangu Septemba 2015.
Noah alianza maisha yake ya sanaa kama mtangazaji, muigizaji na mchekeshaji nchini Afrika ya Kusini. Ameshika nafasi mbalimbali za utangazaji katika Shirika la Utangazaji la Afrika Kusini (SABC), na alishika nafasi ya pili kwenye msimu wa nne wa ''Strictly Come Dancing'' mwaka 2008. Kuanzia 2010-2011, Noah alikuwa muanzilishi na mtangazaji wa kipindi cha Tonight with Trevor Noah kwenye M-Net na DStv. Uchekeshaji wake umempatia mafanikio kimataifa na kupelekea kutokelezea kwenye vipindi vya mijadala ya usiku vya Amerika na mijadala ya Uingereza.
 
Disemba 2014. Noah alikuja kuwa mchambuzi wa kimataifa kwenye The Daily Show, kipindi cha habari za dhihaka, [[Marekani]]. Mwaka uliofata, alitangazwa kuwa mrithi wa Jon Stewart, mtangazaji wa siku nyingi sana, na amekuwa mtangazaji mkuu wa The Daily Show tangu Septemba 2015.
 
Kuanzia 2010-2011, Noah alikuwa muanzilishi na mtangazaji wa kipindi cha Tonight with Trevor Noah kwenye M-Net na DStv. Uchekeshaji wake umempatia mafanikio kimataifa na kupelekea kutokelezea kwenye vipindi vya mijadala ya usiku vya Amerika na mijadala ya Uingereza.
 
Disemba 2014. Noah alikuja kuwa mchambuzi wa kimataifa kwenye The Daily Show, kipindi cha habari za dhihaka, [[Marekani]]. Mwaka uliofatauliofuata, alitangazwa kuwa mrithi wa Jon Stewart, mtangazaji wa siku nyingi sana, na amekuwa mtangazaji mkuu wa The Daily Show tangu Septemba 2015.
 
== Marejeo ==
{{reflist}}
{{mbegu-mtu}}
 
==Marejeo==
{{reflist}}
 
[[Jamii:DarWaliozaliwa es Salaam1984]]
[[Jamii:Watu walio hai]]