Tofauti kati ya marekesbisho "Wanyama wa nyumbani"

22 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
Nyongeza jina
(Nyongeza jina)
'''Wanyama wa nyumbani''' au '''wanyama-kaya''' ni wale [[wanyama]] ambao huishi katika [[mazingira]] ambayo [[mwanadamu]] anaishi. Wanyama hao wanapatana na wanadamu, nao ni kama vile [[kuku]], [[mbwa]], [[mbuzi]], [[kware]], [[ng'ombe]] na wengine wengi.
 
Wanyama hawa wana [[faida]] katika maisha ya wanadamu; kwa mfano ng'ombe hupatia watu [[maziwa]], [[nyama]], pia [[ngozi]] yake inaweza kutumika kutengeneea vitu mbalimbali.
10,295

edits