Septemba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+kiungo
No edit summary
 
Mstari 1:
{{Septemba}}
Mwezi wa '''Septemba''' ni [[Mwezi (wakati)|mwezi]] wa [[tisa]] katika [[Kalenda ya Gregori]]. [[Jina]] lake limetokana na [[neno]] la [[Kilatini]] ''septem'', maana yake ni "[[Saba (namba)|saba]]". [[Mwaka]] wa [[153 KK|153]] [[KK]], mwanzo wa mwaka ulitanguliza miezi miwili kutoka [[Machi]] kwenda [[Januari]], na maana ya jina lake Septemba ilipotea.
 
Tarehe 20, mwezi huo wa Septemba, ni [[siku mlingano]] (au '''[[ikwinoksi]]''' kutoka [[Kiingereza]] ''equinox'') ambapo [[jua]] huvuka mstari wa [[ikweta]], na muda wa [[usiku]] na [[mchana]] ziko sawasawa kimudaunalingana [[duniani]] popotekote (ila maeneo ya [[Ncha ya kijiografia|ncha]] ambapo [[nusu]] ya jua hubaki chini ya [[upeo wa macho]] na nusu nyingine juu kwa siku nzima).
 
Septemba ina siku 30, na inaanza na siku ya [[juma]] sawa na mwezi wa [[Desemba]].
 
{{wiktionary}}