Sikio : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Muundo wa sikio.jpg|thumb|300px|Muundo wa sikio]]
[[Picha:Ear.jpg|thumb|200px|Picha ya sikio la nje]]
[[File:TM RIGHT NORMAL.jpg|thumb|200px|The [[ngomaNgoma]] ya sikio.]]
'''MasikioSikio''' ni sehemu zaya [[mwili]] zinazowezeshainayowezesha kusikia [[sauti]]. [[Wanadamu]] na [[wanyama]] [[mamalia]] wana masikio mawili [[Kichwa|kichwani]]. Wanyama wengine husikia sauti kupitia viungo vingine kama vile [[buibui]] kupitia [[nywele]] za [[miguu]] au [[samaki]] kupitia [[neva]] ndefu iliyopo chini ya [[ngozi]] kando ya mwili.
Sikio la binadamu huwa na sehemu ya nje inayoonekana na sehemu isiyoonekana iliyopo ndani ya [[fuvu]]. Usikivu wenyewe hutokea kwenye sehemu ya ndani.
Line 10 ⟶ 11:
 
Sehemu ya kiwambo cha sikio pamoja na chumba nyuma yake penye mifupa sikivu huitwa sikio la kati. Nyuma yake kuna sehemu ya sikio la ndani. Kiungo cha mwili kinachobadilisha mwendo wa mishipa sikivu kuwa [[alama]] za neva huitwa [[komboli]].
 
[[File:TM RIGHT NORMAL.jpg|thumb|200px|The [[ngoma]]
== Kazi nyingine za masikio ==
Pamoja na kupokea sauti, sikio la ndani lina pia kazi ya kutunza uwiano wa mwili likiweza kutofautisha kati ya juu, chini, kulia na kushoto.
[[File:Modified Ear.jpg|thumb|Uchomekaji wa hereni na mapambo mbalimbali kwenyepenye sikio.]]
Wanyama mbalimbali hutumia masikio pia kwa kupoza mwili. Hivyo [[tembo]] anatumia masikio yake kama [[feni]].