Kijichi (Temeke) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
nimerekebisha chanzo
No edit summary
Mstari 22:
Huko kuna [[shughuli]] za [[kilimo]] kama vile cha [[mchicha]] na hata [[kazi]] nyingine ndogondogo.
 
Pia kuna [[shule]] nyingi za [[serikali]] na za watu binafsi; za serikali za msingi ni shule za Kijichi, Bwawani, Mbagalaku; za watu binafsi za msingi ni Holy Cross Kamo, Praise Montfort na nyingine nyingi.P'ia ni sehemu ambayo biashara nyingi hufanyika namaendeleo ya wakazi wa eneo hili si mabaya
 
==Marejeo==