Lugha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 6:
 
== Maana ya neno "lugha" ==
Lugha ni mfumo wa [[sauti]] za [[nasibu]] zenye maana na zilizokubaliwa na [[jamii]] ya watu fulani ili zitumike katika kuleta [[mawasiliano]].
 
Lugha ni mfumo wa sauti za nasibu kwa sababu zilitokea kama bahati tu kwa binadamu. Wanyama hawatumii lugha kama chombo cha mawasiliano, kwa kuwa lugha ni sauti zenye maana na kukubaliwa na jamii.
Mstari 19:
 
* Lugha hukuza utamaduni
+ lugha uburudisha
 
== Tabia za lugha ==
* Lugha huzaliwa
Mstari 32:
* Lugha lazima iwe inahusu binadamu
* Sauti-sauti hufanywa na mwanadamu
* Lugha hufuata misingi ya [[fonimu]], yaani, a, b, c,d.f, h, d, z n.k
* Lugha huwa na mpangilio maalumu wenye kubeba maana. Mpangilio huo huanza na fonimu ---> Silabi ---> Neno
* Lugha hujitambulisha ili kuzalisha maneno mengi.
Mstari 100:
 
== Tazama pia ==
* [[LangoLengo:Lugha|LangoLengo la lugha]]
 
==Viungo vya nje==