Elisha the great
Imejiunga 9 Agosti 2017
Elisha the great ni mwanafunzi anayesoma shule ya sekondari alfagems iliyopo katika mkoa wa morogoro nchini tanzania na naishi katika mkoa wa dar es salaam nilimaliza darasa la saba katika shule ya idris a waakil iliyopo huko ninapoishi na napenda masomo ya sayansi na ninapenda kuwa mtaalamu wa umeme.My role model is Tammy Abraham.
Ni miongoni mwa watumiaji wa swahili wikipedia.