Neno : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 1:
'''Neno''' ni sehemu fupi ya [[lugha]] yenye maana. Ni sauti inayotamkwa au kuandikwa pamoja na kutaja jambo fulani.mfano [[moja]]
maana nyingine.Neno ni mkusanyiko wa silabi na konsonati
Neno linaweza kuwa fupi lenye [[mofimu]] (yaani sauti inayowakilisha maana fulani) moja tu au kuwa ndefu lenye mofimu mbalimbali.
Mstari 11:
Si wazi mara moja kwa wakilizaji wanaosikia haya mara ya kwanza kama ni neno moja au maneno mawili.
Wataalamu wa lugha hutofautiana aina za maneno kama vile [[nomino]], [[kitenzi]], [[kivumvishi]], [[kielezi]], [[kiunganishi]] [[kiwakilishi]]na
Maneno kwa pamoja yanaunda [[sentensi]] yakifuata masharti ya [[sarufi]] katika lugha.
|