Mke wa Kurusi (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 3:
 
 
'''Mke wa Kurusi''' (kwa [[Kilatini]] na [[Kiingereza]] '''[[:en:Cassiopeia|Cassiopeia]]''' kwa [[Kilatini]] na [[Kiingereza]]) <ref>[[Uhusika milikishi]] ''([[:en:genitive]])'' ya neno "Cassiopeia" katika lugha ya [[Kilatini]] ni " Cassiopeiae " na hili ni umbo la jina linaloonekana katika majina ya nyota za kundi hili kama vile Alfa Cassiopeiae, nk.</ref>. ni [[jina]] la [[kundinyota]] kwenye [[nusutufe ya kaskazini]] ya [[dunia]] yetu. Kundinyota hii ni maarufu kwa umbo lake la “M” au “W” kwa hiyo inaitwa pia “W ya angani”. . Lakini kwa mtazamaji katika Afrika ya Mashariki inaonekana daima kwa umbo la “M”.
==Mahali pake==
Mke wa Kurusi iko karibu kundinyota ya [[Jabari (kundinyota)|Jabari]] ([[:en:Orion]]) kwa upande wa kusini ya [[ikweta ya anga]]. Sehemu yake ya mashariki inafika kwenye [[Njia Nyeupe]]. Kundinyota jirani zake ni [[Akarabu (kundinyota)|Akarabu]] ''([[:en:Lepus (constellation)|Lepus au sungura]])'', [[Munukero (kundinyota)]] ''([[:en:Monoceros (constellation)]])'', [[Shetri (kundinyota)|Shetri]] ''([[:en:Puppis (constellation)|Puppis]])'' na [[Njiwa (kundinyota)]] ''([[:en:Columba (constellation)|Columba]])''.