Mbwa Mkubwa (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ' thumb|right|400px|Nyota za kundinyota Mbwa Mkubwa (Canis Maior) katika sehemu yao ya angani '''Mbwa Mkubwa''' (kwa [[Kilatini]...'
Tag: 2017 source edit
 
No edit summary
Mstari 1:
 
[[Image: Canis Maior_IAUMajor_IAU.svg|thumb|right|400px|Nyota za kundinyota Mbwa Mkubwa (Canis Maior) katika sehemu yao ya angani]]
'''Mbwa Mkubwa''' (kwa [[Kilatini]] na [[Kiingereza]] '''[[:en:Canis Maior|Canis Maior]]''') <ref>[[Uhusika milikishi]] ''([[:en:genitive]])'' ya neno "Canis Maior" katika lugha ya [[Kilatini]] ni " Canis Maioris " na hili ni umbo la jina linaloonekana katika majina ya nyota za kundi hili kama vile Alfa Canis Maioris, nk.</ref>. ni [[jina]] la [[kundinyota]] kwenye [[nusutufe ya kusini]] ya [[dunia]] yetu. [[Shira]] (Sirius) ambayo ni nyota angavu zaidi angani ni sehemu ya Mbwa Mkubwa.
 
Mstari 7:
 
==Jina==
Mbwa Mkubwa ilijulikana kwa jina hili kwa miaka mingi kati ya mabaharia Waswahili waliotumia nyota kutafuta njia baharini wakati wa usiku.<ref>ling. Knappert 1993</ref>
Jina Mbwa Mkubwa latokana na [[mitholojia ya Ugiriki ya Kale]] iliyoona hapa mbwa anayewinda pamoja na Jabari (Orion) na kumfuata Akarabu (sungura). Baadaye mbwa wa pili alibuniwa na Waroma. <ref>ling. Allen, Star-Names and their Meanings uk, 117</ref> na hapo kundinyota hizi mbili ziliitwa Mbwa Mkubwa na Mdogo. Majina haya yalitafsiriwa baadaye moja kwa moja kwa [[Kilatini]] kuwa Canis Maior na Minor na baadaye kwa [[Kiarabu]] kuwa الكلب الأكبر Al-Kalb al-akbar na al-asgar.
 
Jina "Mbwa Mkubwa" latokana na [[mitholojia ya Ugiriki ya Kale]] iliyoona hapa mbwa anayewinda pamoja na Jabari (Orion) na kumfuata Akarabu (sungura). Baadaye mbwa wa pili alibuniwa na Waroma. <ref>ling. Allen, Star-Names and their Meanings uk, 117</ref> na hapo kundinyota hizi mbili ziliitwa Mbwa Mkubwa na Mdogo. Majina haya yalitafsiriwa baadaye moja kwa moja kwa [[Kilatini]] kuwa Canis Maior na Minor na baadaye kwa [[Kiarabu]] kuwa الكلب الأكبر Al-Kalb al-akbar na al-asgar.
 
Mbwa Mkubwa ni kati ya kundinyota zilizotajwa tayari na [[Klaudio Ptolemaio]] katika karne ya 2 BK. Iko pia kati ya kundinyota 88 zinazoorodheshwa na [[Umoja wa kimataifa wa astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref> kwa jina la Canis Maior. Kifupi chake rasmi kufuatana na [[Ukia]] ni 'CMa'.<ref name="pa30_469">{{cite journal | last=Russell | first=Henry Norris | title=The New International Symbols for the Constellations | journal=[[Popular Astronomy (US magazine)|Popular Astronomy]] | volume=30 | pages=469–71 | bibcode=1922PA.....30..469R | year=1922}}</ref>