Mkoa wa Simiyu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Tanzania Simiyu location map.svg|thumb|Mahali pa mkoa nchini Tanzania.]]
'''Mkoa wa Simiyu''' ni kati ya mikoa 30 ya [[Tanzania]]. Makao makuu yako [[Bariadi]].
'''Mkoa wa Simiyu''' ni kati ya [[mikoa]] 31 ya [[Tanzania]]. Ulianzishwa rasmi Machi [[2012]] kwa kumega [[mkoa wa Shinyanga]] upande wa mashariki<ref name="DN-1">{{Cite news | author=Staff | title=Tanzania: State Gazettes New Regions, Districts | date=9 March 2012 | newspaper=Daily News | location=Dar es Salaam, Tanzania | url=http://www.dailynews.co.tz/index.php/local-news/2739-state-gazettes-new-regions-districts}}</ref>.
 
[[Makao makuu]] yako [[Bariadi]].
Ulianzishwa rasmi Machi [[2012]] kwa kumega [[mkoa wa Shinyanga]] upande wa mashariki.
 
== Wakazi ==
Kadiri ya [[sensa]] ya [[mwaka]] [[2012]], wakazi walikuwa 1,584,157,<ref name="2012 Census">[http://www.nbs.go.tz/sensa/PDF/Census%20General%20Report%20-%2029%20March%202013_Combined_Final%20for%20Printing.pdf Population Distribution by Administrative Units, United Republic of Tanzania, 2013]</ref> kukiwa na ongezeko la 1.8[[%]] kwa mwaka katika miaka [[2002]]-2012<ref name="2012 Census"/>.
 
[[Msongamano wa watu]] ni 63 kwa [[kilometa mraba]].<ref name="2012 Census"/>
 
[[Kabila]] kubwa ni lile la [[Wasukuma]].
 
== Wilaya ==
Mkoa huo mpya una [[wilaya]] zifuatazo: [[Wilaya ya Bariadi|Bariadi]], [[Wilaya ya Busega|Busega]], [[Wilaya ya Maswa|Maswa]], [[Wilaya ya Meatu|Meatu]], [[Wilaya ya Itilima|Itilima]].
 
==Majimbo ya bunge==
Wakati wa [[uchaguzi mkuu]] wa Tanzania mwaka [[2015]] mkoa huu ulikuwa na [[majimbo ya uchaguzi]] yafuatayo:
 
* Bariadi : mbunge ni [[Andrew Chenge]] ([[CCM]])
Line 17 ⟶ 25:
* Meatu : mbunge ni [[Salum Khamis Salumu]] ([[CCM]])
 
== Wakazi Tanbihi==
{{marejeo}}
Kabila kubwa ni lile la [[Wasukuma]].
 
== Viungo vya nje ==