Kupaa Bwana : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:AscensionofChrist2.jpg|thumb|250px|right|''Kupaa Kristo'' kadiri ya [[Il Garofalo|Garofalo]], [[1520]].]]
[[File:Ascension2007-04.jpg|thumb|left|200px|[[Liturujia]] ya Kupaa Bwana katika [[Kanisa la Kiorthodoksi la Kisiria]] huko [[Mumbai]], [[India]].]]
[[image:Obereschach_Pfarrkirche_Fresko_Fugel_Christi_Himmelfahrt_crop.jpg|thumb|''Kupaa Kristo'' kadiri ya [[Gebhard Fugel]], [[1893]] hivi.]]
{{Mwaka wa liturujia}}
'''Kupaa Bwana''' ni [[ukumbusho]] wa [[fumbo]] la [[Yesu Kristo]] kupaa katika [[utukufu]] wa [[mbinguni]] akiwa na [[mwili]] wake ambao [[Ijumaa kuu]] [[msalaba wa Yesu|ulisulubiwa]] hata [[kifo cha Yesu|akafa]] akazikwa kabla [[ufufuko wa Yesu|hajafufuka]] [[siku]] ya [[tatu]] ([[Siku ya Bwana|Jumapili]]) kadiri ya [[imani]] ya [[Ukristo]].
Line 10 ⟶ 12:
[[Adhimisho]] hilo ni la zamani sana. Ingawa hakuna uthibitisho wa kimaandishi kabla ya mwanzo wa [[karne ya 5]], [[Agostino wa Hippo]] alisema linatokana na [[Mababu wa Kanisa]] wa kwanza, na kwamba linafanyika katika [[Kanisa]] lote tangu muda mrefu.
 
Kweli linatajwa mara nyingi katika maandishi ya [[Yohane Krisostomo]], [[Gregori wa Nisa]], katika [[Katiba za Mitume]] na mengineyo ya [[Makanisa ya masharikiMashariki]] na [[Kanisa la magharibi]].
 
==Viungo vya nje==