Medici : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: thumb|250px|Nembo la familia katika Jumba la Medici mjini Firenze [[Image:Cosimodemedicitheolder.jpg|thumb|250px|Cosimo di Medici (1389-1464)) mtawala w...
 
No edit summary
Mstari 8:
Watawala na mapapa Wamedici waliajiri wasanii wengi na kugharamaia pia wataalamu hivyo wakajenga kipindi cha utamaduni wa juu cha Italia kilichong'aa kote [[Ulaya]].
==Wamedici mashuhuri==
* [[Salvestro de' Medici]] (1331 – 1388) alikuwa wa kwanza wa familia aliyetawala Firenze hadi [[1382]]
* [[Giovanni di Bicci de' Medici]] (1360 – 1429) aliongeza utajiri wa nyumba hadi kuwa familia tajiri ya Ulaya
* [[Cosimo de' Medici|Cosimo Mzee]] (1389 – 1464) alianzisha mfululizo wa watawala Wamdedici wa Firenze
* [[Lorenzo de' Medici|Lorenzo Mhusudika]] (1449 – 1492) mtawala wa Firenze aliyetumia pesa nyingi kwa sanaa na wasanii
* Giovanni de' Medici (1475 – 1523) aliyekuwa [[Papa Leo X]]
* Giulio de' Medici (1478 – 1534) aliyekuwa [[Papa Klementi VII]]
* [[Cosimo I de' Medici|Cosimo Mkuu]] (1519 – 1574), First Grand Duke of Tuscany who restored the Medici lustre
* [[Catherine de' Medici]] (1519 – 1589), Queen of [[France]]
* Alessandro Ottaviano de' Medici (1535 – 1605) aliyejulikana kama [[Papa Leo XI]]
* [[Marie de' Medici]] (1575 – 1642) aliyekuwa malkia wa [[Ufaransa]]
* [[Anna Maria Luisa de' Medici]] (1667 – 1743) alikuwa mtemi wa [[Toskana]] na mwisho wa familia ya Medici alieyeaga dunia bila watoto.
 
==Viungo vya Nje==
* [http://tuscany-toscana.info/history_of_the_medici_family.htm Outline of the history of the Medici family]