Tashbiha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Tashbiha''' (au '''tashibiha''' au '''tashbihi''', kutoka neno la Kiarabu) ni usemi wa kufananisha au kulinganisha mambo mawili au zaidi kwa kutu...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Tashbiha''' (au '''tashibiha''' au '''tashbihi''', kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]; kwa [[Kiingereza]]: "simile") ni [[usemi]] wa kufananisha au kulinganisha mambo mawili au zaidi kwa kutumia [[kiunganishi]], kwa mfano: kama, mathalani, mithili ya, n.k.
 
[[Tamathali]] hiyo inaweza kuinua [[sentensi]] hadi hadhi ya [[sanaa]] kwa jinsi inavyopendeza.